Eze. 16:51 SUV

51 Samaria naye hakutenda nusu ya dhambi zako; bali wewe umeyaongeza machukizo yako zaidi ya hao, nawe umewapa haki maumbu yako kwa machukizo yako yote uliyoyatenda.

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:51 katika mazingira