Eze. 16:53 SUV

53 Nami nitawarudisha watu wao waliofungwa; wafungwa wa Sodoma na binti zake, na wafungwa wa Samaria na binti zake na wafungwa wako waliofungwa kati yao;

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:53 katika mazingira