57 kabla uovu wako haujafunuliwa bado, kama vile wakati ule walipokutukana binti za Shamu, na wale wote waliomzunguka, binti za Wafilisti wanaokudharau pande zote.
Kusoma sura kamili Eze. 16
Mtazamo Eze. 16:57 katika mazingira