Eze. 16:6 SUV

6 Nami nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nalikuambia, Ujapokuwa katika damu yako, uwe hai; naam, nalikuambia, Ujapokuwa katika damu yako, uwe hai.

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:6 katika mazingira