Eze. 17:16 SUV

16 Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, hakika mahali pale akaapo mfalme aliyemmilikisha, ambaye alikidharau kiapo chake, na kulivunja agano lake, ndipo atakapokufa pamoja naye kati ya Babeli.

Kusoma sura kamili Eze. 17

Mtazamo Eze. 17:16 katika mazingira