Eze. 17:18 SUV

18 Kwa maana amekidharau kiapo kwa kulivunja agano; na tazama, ametia mkono wake, na pamoja na hayo ameyatenda mambo hayo yote; hataokoka.

Kusoma sura kamili Eze. 17

Mtazamo Eze. 17:18 katika mazingira