Eze. 17:5 SUV

5 Akatwaa tena mbegu katika mbegu za nchi hiyo, akaipanda katika udongo uzaao sana, akaiweka kando ya maji mengi; aliipandikiza kama mti ukuao karibu na mto.

Kusoma sura kamili Eze. 17

Mtazamo Eze. 17:5 katika mazingira