Eze. 18:4 SUV

4 Tazama, roho zote ni mali yangu; kama vile roho ya baba ni mali yangu, ndivyo ilivyo roho ya mwana mali yangu; roho ile itendayo dhambi itakufa.

Kusoma sura kamili Eze. 18

Mtazamo Eze. 18:4 katika mazingira