Eze. 18:7 SUV

7 wala hakumdhulumu mtu, bali amemrudishia mdeni wake rehani yake, wala hakumnyang’anya mtu mali yake kwa nguvu, naye amewapa wenye njaa chakula chake, na kuwavika nguo walio uchi;

Kusoma sura kamili Eze. 18

Mtazamo Eze. 18:7 katika mazingira