Eze. 19:12 SUV

12 Lakini aling’olewa kwa ghadhabu, akaangushwa chini, upepo wa mashariki ukakausha matunda yake; vijiti vyake vya nguvu vikavunjika, vikakauka; moto ulivila.

Kusoma sura kamili Eze. 19

Mtazamo Eze. 19:12 katika mazingira