Eze. 19:14 SUV

14 Na moto umetoka katika vijiti vya matawi yake, umekula matunda yake, hata hana tena kijiti cha nguvu kifaacho kwa fimbo ya enzi ya kutawala. Na hayo ni maombolezo, nayo yatakuwa maombolezo.

Kusoma sura kamili Eze. 19

Mtazamo Eze. 19:14 katika mazingira