Eze. 2:10 SUV

10 Akalikunjua mbele yangu; nalo lilikuwa limeandikwa ndani na nje; ndani yake yalikuwa yameandikwa maombolezo, na vilio, na ole!

Kusoma sura kamili Eze. 2

Mtazamo Eze. 2:10 katika mazingira