Eze. 20:18 SUV

18 Kisha nikawaambia watoto wao jangwani, Msiende katika amri za baba zenu, wala msizishike hukumu zao, wala msijitie unajisi kwa vinyago vyao.

Kusoma sura kamili Eze. 20

Mtazamo Eze. 20:18 katika mazingira