Eze. 20:30 SUV

30 Basi, uwaambie nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi; Je! Mnajitia unajisi kwa kuzifuata njia za baba zenu? Mnakwenda kufanya uasherati kwa kuyafuata machukizo yao?

Kusoma sura kamili Eze. 20

Mtazamo Eze. 20:30 katika mazingira