41 Nitawatakabali kama harufu ipendezayo, nitakapowatoa katika mataifa, na kuwakusanya toka nchi zile mlizotawanyika; nami nitatakaswa kwenu machoni pa mataifa.
Kusoma sura kamili Eze. 20
Mtazamo Eze. 20:41 katika mazingira