Eze. 20:6 SUV

6 katika siku ile naliwainulia mkono wangu, kuwatoa katika nchi ya Misri, na kuwaingiza katika nchi niliyowapelelezea, ijaayo maziwa na asali, ambayo ni utukufu wa nchi zote;

Kusoma sura kamili Eze. 20

Mtazamo Eze. 20:6 katika mazingira