Eze. 21:15 SUV

15 Nimeweka ncha ya upanga huo juu ya malango yao yote, ili mioyo yao iyeyuke, yakaongezeke makwazo yao; aha! Umefanywa kuwa kama umeme, umenolewa, ili uchinje.

Kusoma sura kamili Eze. 21

Mtazamo Eze. 21:15 katika mazingira