Eze. 21:26 SUV

26 Bwana MUNGU asema hivi; Kiondoe kilemba, ivue taji; haya hayatakuwa tena kama yalivyo; kikweze kilicho chini, kakishushe kilichoinuka.

Kusoma sura kamili Eze. 21

Mtazamo Eze. 21:26 katika mazingira