Eze. 21:29 SUV

29 wakati wakuoneapo ubatili, wakati wakufanyiao uganga wa uongo, ili kukuweka juu ya shingo zao waliotiwa jeraha kiasi cha kuwaua, ambao siku yao imekuja, katika wakati wa uovu wa mwisho.

Kusoma sura kamili Eze. 21

Mtazamo Eze. 21:29 katika mazingira