Eze. 21:3 SUV

3 uiambie nchi ya Israeli, BWANA asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, nami nitautoa upanga wangu alani, nami nitamkatilia mbali nawe mtu mwenye haki na mtu mbaya.

Kusoma sura kamili Eze. 21

Mtazamo Eze. 21:3 katika mazingira