Eze. 22:12 SUV

12 Ndani yako wamepokea rushwa ili kumwaga damu; umepokea riba na faida; nawe kwa choyo umepata mapato kwa kuwadhulumu jirani zako, nawe umenisahau mimi, asema Bwana MUNGU.

Kusoma sura kamili Eze. 22

Mtazamo Eze. 22:12 katika mazingira