Eze. 22:25 SUV

25 Fitina ya manabii wake imo ndani yake, kama simba angurumaye akirarua mawindo; wamekula roho za watu; hutwaa kwa nguvu hazina na vitu vya thamani; wameongeza hesabu ya wajane wake ndani yake.

Kusoma sura kamili Eze. 22

Mtazamo Eze. 22:25 katika mazingira