Eze. 22:3 SUV

3 Nawe utasema, Bwana MUNGU asema hivi; Mji umwagao damu ndani yake, ili wakati wake upate kuja; mji ufanyao vinyago juu ya nafsi yake, ili ujitie unajisi!

Kusoma sura kamili Eze. 22

Mtazamo Eze. 22:3 katika mazingira