Eze. 23:10 SUV

10 Na hawa wakaufunua uchi wake, wakatwaa wanawe na binti zake, wakamwua yeye kwa upanga; akawa jina la aibu kati ya wanawake; kwa maana walitoa hukumu juu yake.

Kusoma sura kamili Eze. 23

Mtazamo Eze. 23:10 katika mazingira