Eze. 23:22 SUV

22 Kwa sababu hiyo, Ewe Oholiba, Bwana MUNGU asema hivi, Tazama, nitawainua wapenzi wako juu yako, ambao roho yako imefarakana nao, nami nitawaleta juu yako pande zote;

Kusoma sura kamili Eze. 23

Mtazamo Eze. 23:22 katika mazingira