Eze. 23:27 SUV

27 Hivyo ndivyo nitakavyoukomesha uasherati wako, na uzinzi wako, ulioletwa toka nchi ya Misri; usije ukawainulia macho yako, na kukumbuka Misri tena.

Kusoma sura kamili Eze. 23

Mtazamo Eze. 23:27 katika mazingira