Eze. 23:37 SUV

37 Maana wamezini, na damu imo mikononi mwao, nao wamezini na vinyago vyao; tena wana wao walionizalia wamewapitisha katika moto ili waliwe nao.

Kusoma sura kamili Eze. 23

Mtazamo Eze. 23:37 katika mazingira