Eze. 23:4 SUV

4 Na majina yao, mkubwa aliitwa Ohola, na umbu lake Oholiba; wakawa wangu, wakazaa wana na binti. Na katika hayo majina yao, Samaria ni Ohola, na Yerusalemu ni Oholiba.

Kusoma sura kamili Eze. 23

Mtazamo Eze. 23:4 katika mazingira