Eze. 23:42 SUV

42 Na sauti za wingi wa watu wenye hali ya raha zilikuwa pamoja naye; na pamoja na watu wasio na adabu, waliletwa walevi toka jangwani; wakawatia vikuku mikononi, na taji nzuri juu ya vichwa vyao.

Kusoma sura kamili Eze. 23

Mtazamo Eze. 23:42 katika mazingira