Eze. 23:47 SUV

47 Na kusanyiko hilo watawapiga kwa mawe, na kuwaua kwa panga zao; watawaua wana wao na binti zao, na kuziteketeza nyumba zao kwa moto.

Kusoma sura kamili Eze. 23

Mtazamo Eze. 23:47 katika mazingira