Eze. 24:11 SUV

11 Kisha litie juu ya makaa yake, tupu, lipate moto, na shaba yake iteketee, uchafu wake uyeyushwe, na kutu yake iteketee.

Kusoma sura kamili Eze. 24

Mtazamo Eze. 24:11 katika mazingira