Eze. 24:14 SUV

14 Mimi, BWANA, nimenena neno hili, nalo litakuwa; nami nitalifanya; sitaachilia, wala sitahurumia, wala sitajuta; sawasawa na njia zako, na sawasawa na matendo yako, ndivyo watakavyokuhukumu, asema Bwana MUNGU.

Kusoma sura kamili Eze. 24

Mtazamo Eze. 24:14 katika mazingira