Eze. 24:23 SUV

23 Na vilemba vyenu vitakuwa juu ya vichwa vyenu, na viatu vyenu miguuni mwenu; hamtaomboleza wala kulia; lakini mtafifia katika maovu yenu, na kuugua kila mtu pamoja na mwenziwe.

Kusoma sura kamili Eze. 24

Mtazamo Eze. 24:23 katika mazingira