Eze. 24:25 SUV

25 Nawe, mwanadamu, je! Haitakuwa hivi katika siku hiyo nitakapowaondolea nguvu zao, na furaha ya utukufu wao, na kilichotamaniwa na macho yao, ambacho walikiinulia mioyo yao, wana wao na binti zao,

Kusoma sura kamili Eze. 24

Mtazamo Eze. 24:25 katika mazingira