Eze. 25:16 SUV

16 kwa sababu hiyo, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitanyosha mkono wangu juu ya Wafilisti, nami nitawakatilia mbali Wakerethi, na kuwaharibu wabakio pande za pwani.

Kusoma sura kamili Eze. 25

Mtazamo Eze. 25:16 katika mazingira