Eze. 27:12 SUV

12 Tarshishi alikuwa mfanya biashara kwako, kwa sababu ya wingi wa utajiri wa kila aina; kwa fedha, na chuma, na bati, na risasi, walifanya biashara, wapate vitu vyako vilivyouzwa.

Kusoma sura kamili Eze. 27

Mtazamo Eze. 27:12 katika mazingira