Eze. 27:18 SUV

18 Dameski alikuwa mfanya biashara kwako, kwa habari ya wingi wa kazi za mkono wako, kwa ajili ya wingi wa aina zote za utajiri; akaleta divai ya Helboni, na sufu nyeupe.

Kusoma sura kamili Eze. 27

Mtazamo Eze. 27:18 katika mazingira