Eze. 27:25 SUV

25 Merikebu za Tarshishi zilikuwa misafara yako, kwa bidhaa yako; nawe ulijazwa sana, ukawa mtukufu sana, katika moyo wa bahari.

Kusoma sura kamili Eze. 27

Mtazamo Eze. 27:25 katika mazingira