Eze. 27:29 SUV

29 Na wote wavutao kasia, wana-maji, na rubani zote wa baharini, watashuka katika merikebu zao, na kusimama katika nchi kavu;

Kusoma sura kamili Eze. 27

Mtazamo Eze. 27:29 katika mazingira