Eze. 27:3 SUV

3 umwambie Tiro, Ewe ukaaye penye maingilio ya bahari, uliye mchuuzi wa watu wa kabila nyingi, mpaka visiwa vingi, Bwana MUNGU asema hivi; Wewe, Tiro, umesema, Mimi ni ukamilifu wa uzuri.

Kusoma sura kamili Eze. 27

Mtazamo Eze. 27:3 katika mazingira