Eze. 27:7 SUV

7 Tanga lako lilikuwa la kitani safi itokayo Misri, iliyotiwa taraza, ili iwe bendera kwako; na chandalua chako kilikuwa cha rangi ya samawi na urujuani toka visiwa vya Elisha.

Kusoma sura kamili Eze. 27

Mtazamo Eze. 27:7 katika mazingira