Eze. 28:14 SUV

14 Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hata ukawa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu, umetembea huko na huko kati ya mawe ya moto.

Kusoma sura kamili Eze. 28

Mtazamo Eze. 28:14 katika mazingira