Eze. 28:17 SUV

17 Moyo wako uliinuka kwa sababu ya uzuri wako; umeiharibu hekima yako kwa sababu ya mwangaza wako; nimekutupa chini, nimekulaza mbele ya wafalme, wapate kukutazama.

Kusoma sura kamili Eze. 28

Mtazamo Eze. 28:17 katika mazingira