7 basi, tazama, nitaleta wageni juu yako, watu wa mataifa wenye kutisha; nao watafuta panga zao juu ya uzuri wa hekima yako, nao watautia uchafu mwangaza wako.
Kusoma sura kamili Eze. 28
Mtazamo Eze. 28:7 katika mazingira