Eze. 29:13 SUV

13 Maana Bwana MUNGU asema hivi; Mwisho wa miaka arobaini nitawakusanya Wamisri, na kuwatoa katika hizo kabila za watu, ambazo walitawanyika kati yao;

Kusoma sura kamili Eze. 29

Mtazamo Eze. 29:13 katika mazingira