Eze. 3:12 SUV

12 Ndipo roho ikaniinua, nami nikasikia nyuma yangu sauti kama mshindo wa radi kuu, ikisema, Na uhimidiwe utukufu wa BWANA tokea mahali pake.

Kusoma sura kamili Eze. 3

Mtazamo Eze. 3:12 katika mazingira