Eze. 3:23 SUV

23 Basi, nikaondoka, nikaenda uwandani, na tazama, utukufu wa BWANA ulisimama huko, kama utukufu ule niliouona karibu na mto Kebari; nami nikaanguka kifudifudi.

Kusoma sura kamili Eze. 3

Mtazamo Eze. 3:23 katika mazingira