Eze. 3:3 SUV

3 Akaniambia, Mwanadamu, lisha tumbo lako, ulijaze tumbo lako kwa hili gombo nikupalo. Ndipo nikalila, nalo kinywani mwangu lilikuwa tamu, kama utamu wa asali.

Kusoma sura kamili Eze. 3

Mtazamo Eze. 3:3 katika mazingira