Eze. 30:18 SUV

18 Huko Tapanesi nako mchana utakuwa giza, nitakapovunja huko kongwa za Misri, na kiburi cha uwezo wake kitakoma ndani yake, na katika habari zake, wingu litaifunika, na binti zake watakwenda utumwani.

Kusoma sura kamili Eze. 30

Mtazamo Eze. 30:18 katika mazingira