Eze. 30:22 SUV

22 Basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu ya Farao, mfalme wa Misri, nami nitamvunja mikono yake, mkono ulio wenye nguvu, na huo uliovunjika, nami nitauangusha upanga ulio katika mkono wake.

Kusoma sura kamili Eze. 30

Mtazamo Eze. 30:22 katika mazingira